Hamna kozi ngumu au rahisi ni wewe mwenyewe utavyoichukulia ndivyo itavyokuwa!!! kuna uzi humu ulikua unaelezea kozi mbali mbali za engineering unaweza cheki thread za nyuma utaikuta, itakusaidia sana.
We mbwiga kweli!!!!!!!
Kwahyo Kama kuna njia rahisi ya kuipata tusitumie??
Fikiria kabla ya kupost. Unaeza ukawa unamjibu babako humu.
Ungekua umesoma usingehoji upumbavu kama huo.

Kwahyo Kama wanakujua ndio utoe comment ya hovyo ivo??
We unadhani kila anaeulizia maswala ya coz ni form 6 leaver?? Hakuna haja ya kujadl vitu visivyo na msingi.
Try something productive.