Hollyreath Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 126 Reaction score 12 Oct 5, 2020 #1 Habari wadau, Naomba kujua ni kipimo gani kinafanywa kugundua tatizo la appendix/kidole tumbo. Na gharama yake. Gharama za upasuaji Na hospital ipi ni nzuri kwa mkoa wa Arusha kutibiwa tatizo hilo
Habari wadau, Naomba kujua ni kipimo gani kinafanywa kugundua tatizo la appendix/kidole tumbo. Na gharama yake. Gharama za upasuaji Na hospital ipi ni nzuri kwa mkoa wa Arusha kutibiwa tatizo hilo