Dodoma nyumba ni deal, wanasiasa wanakwenda sana kule, so wengi wana nyumba Dom na Dar,Watu walikurupuka kuwekeza projects ambazo Dodoma haina uwezo wa ku absorb.
hakunaga biashara kwenye miji iliyokuzwa kisiasa. KFC yupo radhi afungue outlet magomeni mapipa kuliko kwenda kuwekeza huko capital city
Dodoma itajengwa na wafanya biashara Sio wanasiasaDodoma nyumba ni deal, wanasiasa wanakwenda sana kule, so wengi wana nyumba Dom na Dar,
Lakini Mji umekuwa kabla ya 2015 kulikuwa hakuna restaurant za maana ila Sasa hivi ukienda zipo za kutosha. Idadi ya magari imeongezeka sana kiasi kwamba Kuna wakati zinatokea foleni japo si kubwa kama Dar (magari mengi maana yake faida kwa wauza mafuta na huduma nyingine.Watu walikurupuka kuwekeza projects ambazo Dodoma haina uwezo wa ku absorb.
hakunaga biashara kwenye miji iliyokuzwa kisiasa. KFC yupo radhi afungue outlet magomeni mapipa kuliko kwenda kuwekeza huko capital city
Anazungumzia faida katika hizo hoteli na sups market zilizofunguliwaLakini Mji umekuwa kabla ya 2015 kulikuwa hakuna restaurant za maana ila Sasa hivi ukienda zipo za kutosha. Idadi ya magari imeongezeka sana kiasi kwamba Kuna wakati zinatokea foleni japo si kubwa kama Dar (magari mengi maana yake faida kwa wauza mafuta na huduma nyingine.
Kabla ya 2015 ilikuwa rahisi wageni kupata nyumba nzuri kwa bei chee, ila hivi Sasa zimepanda sana na ujenzi unaendelea.
Ilikuwa ni ajabu Mtu kwenda kuanzisha supermarket au mall, ila Sasa hivi Kuna Shopaz plaza. Hotel zimeongezeka sana.
Kwangu mimi naona ukuaji wake upo fair kulingana na Mji ulipotoka
Kuna utofauti sana ya Dodoma ya 2015 na ya leo, ni kweli Dodoma inakuwa sana ila Sio kibiashara.Lakini Mji umekuwa kabla ya 2015 kulikuwa hakuna restaurant za maana ila Sasa hivi ukienda zipo za kutosha. Idadi ya magari imeongezeka sana kiasi kwamba Kuna wakati zinatokea foleni japo si kubwa kama Dar (magari mengi maana yake faida kwa wauza mafuta na huduma nyingine.
Kabla ya 2015 ilikuwa rahisi wageni kupata nyumba nzuri kwa bei chee, ila hivi Sasa zimepanda sana na ujenzi unaendelea.
Ilikuwa ni ajabu Mtu kwenda kuanzisha supermarket au mall, ila Sasa hivi Kuna Shopaz plaza. Hotel zimeongezeka sana.
Kwangu mimi naona ukuaji wake upo fair kulingana na Mji ulipotoka
Kwa Taarifa yako wanafungua Mbagala sio Muda mrefuKuna utofauti sana ya Dodoma ya 2015 na ya leo, ni kweli Dodoma inakuwa sana ila Sio kibiashara.
Huyu anayeuza apartments ni moja Kati ya wengi waliofeli kibiashara baada ya ku overate Dodoma, akaweka pesa kwenye project ambayo kimsingi ni over size kwa mji wa Dom.
Huwa napenda sana kutoka mifano ya Food points za KFC! Jamaa wanajua asee, they are spot on. Especially kwenye target wateja wao. Mbagala ina watu tele lakini hutakuta store ya KFC
Naongelea logics za hao KFC wanapotaka kufungua tawi, they rarely bet wrong.! Inaezekana kweli wamoina potential za kufungua tawi mbagala hilo siwezi bisha .Kwa Taarifa yako wanafungua Mbagala sio Muda mrefu
Wapo kwenye Contract na Kituo kimoja Cha Mafuta
Kf... ifikapo 2025 itakua na Matawi 10 Dsm mpya
Maeneo yanayopendekezwa ni Goba Center, Mbezi Mwisho ,Mbagala, Airport, Tegeta Kuna jengo wanasubiri soon
Niishie hapo
Mimi ni mmoja wa wahanga. Aisee ninajuta mpaka kesho. Dodoma pamekuwa pagumu sana kibiashara tangu Magufuli alipofariki.Watu walikurupuka kuwekeza projects ambazo Dodoma haina uwezo wa ku absorb.
hakunaga biashara kwenye miji iliyokuzwa kisiasa. KFC yupo radhi afungue outlet magomeni mapipa kuliko kwenda kuwekeza huko capital city
KFC ni habari ingine kwenye ku point location.Naongelea logics za hao KFC wanapotaka kufungua tawi, they rarely bet wrong.! Inaezekana kweli wamoina potential za kufungua tawi mbagala hilo siwezi bisha .
Ni sawa ila Hata Magomeni watu waliona why anafungua wakati ni kilometa Moja to Fire?Naongelea logics za hao KFC wanapotaka kufungua tawi, they rarely bet wrong.! Inaezekana kweli wamoina potential za kufungua tawi mbagala hilo siwezi bisha .
Hawakurupuki and they rarely bet wrong when choosing location.KFC ni habari ingine kwenye ku point location.
Huwezi kuta KFC imefunguliwa sehemu halafu wakaja wakaifunga.
Research za Team ya huyu mzee sio ya kawaida inaumiza kichwa hada its like wanakagua hadi hela tunazopta nazo njia wanayotaka kuweka Kitu chao.
Surprise ya MAPIPA imenifanya niwape nyota 10 kfc kwa kupoint location.