Kama nimekuelewa vizuri, unataka ulipwe fee ya sh 400,000 sawa na mwezi mmoja wa kodi? Ni sawa? Kama ni sawa nadhani hii ni aina nyingine ya maajabu yanayopatikana Tanzania tu kwani hiyo gharama ni kubwa mno. Mngewekuwa mnaweka resonable fees ikizingatiwa bado kuna ajabu jingine la kulipa kodi ya miezi sita ambalo hupatikana Tanzania tu! 400,000 x 6 = 2,400,000 + 400,000 = 2,800,000!!.