Siachi hela
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 136
- 248
Jamaa atakuwa anagongewa tu. Muambie akatae ndoa.kama humuamini tumia ndom mzee, utakufa kwa presha
Sio dem tu mzee, mtu unaeza kua unamdai af daily anakupiga kalenda, sio poa mzeekama humuamini tumia ndom mzee, utakufa kwa presha
Hamna bana hizo app ni mahsus kwa wanaogongewa tu.Sio dem tu mzee, mtu unaeza kua unamdai af daily anakupiga kalenda, sio poa mzee
kwanin umkopeshe usiepajua kwake......nenda kabebe kinachokufaa ata milango chukua
😅😅😅😅😅 sio kwel bana, mfano hata mi natafuta app ya kutrack namba ya mtu, Kuna jamaa tunaheshimiana fresh tu anafanya kazi mahali, tena kazi official.. jamaa baada ya mazoe ya mda mrefu akanambia amekwama kama 300k hiv anaomba nimsave af atarudisha ndani ya wiki,
Kuhusu kudaiana haiendani na hizo app. Sababu kubwa za hizo app kuanzishwa ni kukithiri kwa watu kuchapiwa. Hali hii ikawafanya watengeneza hizo app ambao pia ni wahanga watafute mwarubaini. Kugongewa siyo mchezo inauma hadi inapelekea ubunifu.Mfano, mi kuna jamaa
😅😅😅😅😅 sio kwel bana, mfano hata mi natafuta app ya kutrack namba ya mtu, Kuna jamaa tunaheshimiana fresh tu anafanya kazi mahali, tena kazi official.. jamaa baada ya mazoe ya mda mrefu akanambia amekwama kama 300k hiv anaomba nimsave af atarudisha ndani ya wiki,
Sasa kutafuta ukweli ndo kunauma zaidi, bora upotezee dunia ishachafuka saiz huez pata mwarobaini wa kupona kupigiwaKuhusu kudaiana haindani na hizo app. Sababu kubwa za hizo app kuanzisha ni kukithiri kwa watu kuchapiwa. Hali hii ikawafanya watengeneza hizo app ambao pia ni wahanga watafute mwarubainu. Kugongewa siyo mchezo inauma hadi inapelekea ubunifu.
Countrywide
Elezea kwa undani mkuu wengi ni wahanga hapa.Mi nayoijua mpaka upate cm ya uyo mlengwa kuna vitu unafanya afu unampa cm yake.......sasa wewe kwako itakuwa nhumu sababu kumpata tu ni mtihani na ukimpata atakubali ushike cm yake
Naitaka hyoo bossMi nayoijua mpaka upate cm ya uyo mlengwa kuna vitu unafanya afu unampa cm yake.......sasa wewe kwako itakuwa nhumu sababu kumpata tu ni mtihani na ukimpata atakubali ushike cm yake
🤣😂🤣😂njia nyingine ni kupata email yake na password ya iyo email kama anatumia androidElezea kwa undani mkuu wengi ni wahanga hapa.
Mi nayoijua mpaka upate cm ya uyo mlengwa kuna vitu unafanya afu unampa cm yake hapo utawwza kuona kila anakoenda kama unajua kusoma ramani.......sasa wewe kwako itakuwa nhumu sababu kumpata tu ni mtihani na ukimpata atakubali ushike cm yake
kama humuamini tumia ndom mzee, utakufa kwa presha
Zilete nowKuna app hizo unaweka namba ya simu tu mzigo wote unakuwa unatumiwa