ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
kwani we kabila gani!!ngoja niipakue ktk s4 yangu
kwani we kabila gani!!
Ukiwa umeroot soom unaweza kui-fake simu ikawa simu ya kitkat hivo ukaiweka hii app ya camera...
Mfano,Blackberry app ya android ilikua kwa watumiaji wa IC,JB na KK lakini kama wewe ulikua unatumia e.g Tecno p3(ginger bread) na umeroot simu hiyo kuna app(nimeisahau jina) ukiweka inakupa option ya kuibadili p3 na kuwa kama simu yenye android version ya juu
Unfortunately kwa sasa kuna BBM ya gingerbread na hii app nilikoiona link ishakufa
Au njia nyingine niya ku-edit system file "build.prop" kwa root users...
Na unaweza kuifanya android yako kuwa kitkat
http://forum.xda-developers.com/showthread.php?t=2592106
Do it at your risk
Sio kuweka custom ROM? Unaongelea clockworkmod au?
yaah!kuna kabila fulani hivi kwa misifa wako juu!kwani ww umeshindwa kusema uipakue bila kuweka s4! sifa za kiha.yaah!he kabila tena duh!!!!
Ukiwa umeroot soom unaweza kui-fake simu ikawa simu ya kitkat hivo ukaiweka hii app ya camera...
Mfano,Blackberry app ya android ilikua kwa watumiaji wa IC,JB na KK lakini kama wewe ulikua unatumia e.g Tecno p3(ginger bread) na umeroot simu hiyo kuna app(nimeisahau jina) ukiweka inakupa option ya kuibadili p3 na kuwa kama simu yenye android version ya juu
Unfortunately kwa sasa kuna BBM ya gingerbread na hii app nilikoiona link ishakufa
Au njia nyingine niya ku-edit system file "build.prop" kwa root users...
Na unaweza kuifanya android yako kuwa kitkat
(Kitkat for all) Make your android have latest ROM - (FAKE) - xda-developers
Do it at your risk
nimefanikiwa mkuu kufake 4.2.2 >4.4.2
Camera imekubali kuwa installed?
yaah!kuna kabila fulani hivi kwa misifa wako juu!kwani ww umeshindwa kusema uipakue bila kuweka s4! sifa za kiha.yaah!