App nzuri ya kublock sms na call

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,177
1,412
Habari,
Naomba kujuzwa application nzuri inayoweza kuzuia sms na calls za mtu uliyemkusudia.
Kama inapatikana kwenye play store itakua vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
 
Habari,
Naomba kujuzwa application nzuri inayoweza kuzuia sms na calls za mtu uliyemkusudia.
Kama inapatikana kwenye play store itakua vizuri zaidi.
Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
Mkuu umeanza kutumia simu lini?

Ok

Sio lazima app... Unaweza ku block namba hapo hapo ukiibonyeza inakupa option..

ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Hivi blacklist inazuia mpaka meseji kuingia?
Yah nshatumia kwenye simu zilizopita ilikua inazuia kila kitu hadi sms, na ukitaka kujua nani alikutafuta unakwenda kwenye calls logs unaona zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…