Siachi hela
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 136
- 249
DaaahKwann usome kitabu cha mashoga wakati Kuna Quran isiyo na shaka?
Kwann usome kitabu cha mashoga wakati Kuna Quran isiyo na shaka?
Shukrani mkuu
Nashukuru
Kuna wakati huwa naona hawa jamaa hawapo sawa kichwaniNaona unatafuta ban
Hyo ya tatu yenye blue na pink ni friendly Sana , kuna zingine yaan ukifungua tu hata kama umezima data yanakuja matangazo ya 30 seconds, assume upo church mchungaji anahtaji umsomee, alaf app izingue Kwa kuleta matangazo
Kuna wakati huwa naona hawa jamaa hawapo sawa kichwani
Hii Biblia kiukweli ni nzuri ila tatizo lake kuna baadhi ya aya zinamiss yaani hazimo na nafikiri hii ilikuwa tatizo la kiuandishi, labda wakati wa kukopy na kupaste aya zingine zikawa zinamiss. Na kama developer hajang'amua hilo tatizo hatalifix yeye ataendelea kuboresha vitu vingine mpaka pale atakapoambiwa.Hii kwangu ni best make na reading plan pia zipo, inasupport pia version zingine za biblia humo humo kiufupi iko poa sana.View attachment 2396413
Shukrani Sana mkuuHii kwangu ni best make na reading plan pia zipo, inasupport pia version zingine za biblia humo humo kiufupi iko poa sana.View attachment 2396413
Mkuu achana hzo zote tafuta hii hapa ndio biblia namba moja duniani ina kila aina ya lugha hadi za kabila lako na feature kemkem pia ina wenza soma kwa sauti ya karibia kila lugha kuna font stylish NK....Wadau naomba anayefahamu app nzuri ya biblia yenye features nzuri zaidi zinazorahisha usomaji, utunzaji kumbukumbu, na utafutaji wa maandiko.
Kwenye play store zipo nyingi Sanaa kiasi kwamba zinachanganya kubaini ipi itakuwa nzuri. Asante.
Tumia hyo hapo juu utavipata vyoteNatafuta biblia yenye vitabu 72