app muhimu baada ya kuroot simu

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Wadau naomba kufahamu app muhimu ambazo zinaweza kuweka ulinzi baada ya kuroot Simu(android)
 
Wadau naomba kufahamu app muhimu ambazo zinaweza kuweka ulinzi baada ya kuroot Simu(android)
Kama unatumia superSu, lock app zote zenye root permission
hivyo app ikiomba permission weka pin Weka access timeout (select ndogo kabisa ie 1min) .Pia enable login, hii itakuonyesha commands app inazotumia, mfano hapa app ninayotumia toa screenshot inatumia command inayoitwa screencap. Command hii haina madhara kwa simu Ukigundua app yenye root permission inatumia command ambayo una wasiwas nayo,ifute app hiyo
 

Attachments

  • 2016_11_01_19.39.20.png
    33.9 KB · Views: 248
  • 2016_11_01_19.38.14.png
    23.9 KB · Views: 257
  • 2016_11_01_19.40.31.png
    17.5 KB · Views: 252
  • 2016_11_01_19.37.43.png
    8.8 KB · Views: 258
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…