Hakuna chuo unachoweza/kinachofungisha app na Web development tu, hizi ni platform za Computer languages ambazo zonatakiwa uzimaste ili uje kudevelop hivi vitu unavyotaka na sio kila mtu anaye graduate anauwezo wa Kufanya hivyo, unaweza maliza miaka 3,lakini usitoke na ujuzi wowote,kama haupo makini.