Mkuu hata usidate wala sio mzigo wa supersport ya kwa madiba hii ni super sport ya porini,hii app niliipakua mwanzoni kabisa alipoileta tukatoa mapendekezo ila naona kama hailekei vizuri kwakuwa anapambana kujaza machannel mengi angeanza na channel chache aone inapokelewa vipi ndio baadae aanze kuadd moja moja,kwa aliesema Azam imetolea sijatest bado ila naona bora tu itolewe maana haikuwa na msaada,kwanini nasema hv Ile channel ilikuwa ikipigwa tu match ya kibongo basi hiyo channel hutaiipata mpaka match iishe ai itakuwepo inakata kila seconds nikajaribu hata kumtxt toka kwenye app maana alikuwa anapokea comments,mengine aliyatolea majibu ya jinsi ya kuboresha ila hilo LA match local hakuwahi jibu,
Napenda kumjulisha developer huyu kuwa namkubali sana na kazi yake ila anatakiwa kufanya kazi zaidi vinginevyo hatutaacha kuangalia Mobdro na kuipotezea app ya mzawa mwenzetu kutokana na makosa madogo madogo ambayo najua kwa uwezo wake anaweza fix.