R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,159 Dec 4, 2013 #21 King'asti said: Hata wakinga hawaishi kimara, sembuse wageni wa kutoka nje ya nchi? Lol Dalali umesahau kupiga picha reserve tank ya maji tuone ni ya lita ngapi? Click to expand... Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie.
King'asti said: Hata wakinga hawaishi kimara, sembuse wageni wa kutoka nje ya nchi? Lol Dalali umesahau kupiga picha reserve tank ya maji tuone ni ya lita ngapi? Click to expand... Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie.
Tembele JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 1,155 Reaction score 351 Dec 4, 2013 #22 Unawea kuandika upya hili tangazo kwa lafudhi ya kichaga labda ndio litaeleweka. Asante.
K kipimo JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 828 Reaction score 118 Dec 4, 2013 #23 kuna watu lakini hata huko kimara!
YouTube JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 936 Reaction score 363 Dec 4, 2013 #24 NasDaz said: Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie. Click to expand... labda chumba kimoja au chumba na sebule, inamaana temeke kwa laki5 inatosha kodi miezi 6 nyumba nzuri inayojitegemea au upande na chenji inarudi???!!
NasDaz said: Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie. Click to expand... labda chumba kimoja au chumba na sebule, inamaana temeke kwa laki5 inatosha kodi miezi 6 nyumba nzuri inayojitegemea au upande na chenji inarudi???!!
YouTube JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 936 Reaction score 363 Dec 4, 2013 #25 Atukilia said: Kwani ukipanga hapo lazima uwe unafanya kazi mjini? Kama una duka Kibamba au mhadhiri St Joseph? Click to expand... hii nayo pointi,
Atukilia said: Kwani ukipanga hapo lazima uwe unafanya kazi mjini? Kama una duka Kibamba au mhadhiri St Joseph? Click to expand... hii nayo pointi,
YouTube JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 936 Reaction score 363 Dec 4, 2013 #26 Tembele said: Unawea kuandika upya hili tangazo kwa lafudhi ya kichaga labda ndio litaeleweka. Asante. Click to expand... acheni ukabila kila mahali,
Tembele said: Unawea kuandika upya hili tangazo kwa lafudhi ya kichaga labda ndio litaeleweka. Asante. Click to expand... acheni ukabila kila mahali,
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Dec 4, 2013 #27 Ramani yenyewe niko hoi ,kwanini hizo ngazi zisiwepo ndani kwa ndani.Apartment za bongo. Ukiwa juu Sijui utawasiliana vp na mkeo Tsh 500000.you are having a laugh:bored:
Ramani yenyewe niko hoi ,kwanini hizo ngazi zisiwepo ndani kwa ndani.Apartment za bongo. Ukiwa juu Sijui utawasiliana vp na mkeo Tsh 500000.you are having a laugh:bored:
2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,698 Reaction score 4,639 Dec 4, 2013 #28 Kuna mzee mmoja anaitwa Kondo maarufu kweli mitaa hiyo kwa nyumba kama ni nyumba zake poleni wapangaji
Kuna mzee mmoja anaitwa Kondo maarufu kweli mitaa hiyo kwa nyumba kama ni nyumba zake poleni wapangaji
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Dec 4, 2013 #29 Hili tangazo ungelipeleka Kilimanjaro au moshi