Apartment ya kisasa inapangishwa

Apartment ya kisasa inapangishwa

Tanzan

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
40
Reaction score
13
Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room, kitchen, store, balcony ya mbele na ya nyuma. Kuna parking ya magari yenye usalama, CCTV camera, ulinzi wa uhakika na huduma za shopping floor za chini. Apartment ipo floor ya tatu, upande wenye view nzuri ya mjini na upepo mwanana. Jengo liko pembeni mwa Morogoro road, kituo cha Mwendo Kasi cha Usalama. Ni Km 2 to kufika town center.-Samora. Kodi ni 700,000/ kwa mwezi na unaweza ku

img20190401174028-jpg.1078398

img20190401172759-jpg.1078401

img20190401180955-jpg.1078403

img20190401175607-jpg.1078405

img20190401172848-jpg.1078695

img20190401181208-jpg.1078696

lipa kwa mkupuo wa miezi 6. Maongezi yapo. Apartment yafaa kwa makazi na ofisi. Karibuni kwa mawasiliano zaidi 0752392356.
 
bei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
 
Je nitatakiwa kukulipa wewe pesa ya mwezi mmoja ya udalali?
 
Picha zaidi za ndani tafadhali
 
Km 2 mpaka Samora? Kumbe watu wanajilegeza tu huu ni mwendo wa kutembea hata jasho hutoki!
 
bei halisi ya hizo apartments ni 200,000/=
sijui hiyo 700,000/= umeitoa wapi.
Kama ni laki 2, hebu ngoja na mimi nikapange , bei mchekea kabisa, rum 3 laki mbili?.....
 
Naomba kigezo cha kusema bei halisi ya hizo apartment ni lak 2
Wakuu nashukuru mmemjibu wenyewe huyo aliyeeneza uongo wa laki 2. Ameona hoja zenu hadi amekimbia. Huu ndiyo uwazi na ukweli.
 
Ubaya Jf wajuaji wengi...ndo maana ukiwaomba clarification wanakimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom