Duh kwa mshahara wangu nitamudu kweli kukaa nyumba kama hii anyways wenye uwezo wenu kwa kweli ni apartment nzuri changamkieni
Hivi kwanini nyumba tanzania inakukuwa ghali kupangisha kuliko hata Ulaya au America?Hivi hizi bei wanapanga kwa kutumia vigezo gani?Na je kuna watu wangapi wanaowezo wa kupangisha hizi nyumba?Nadhani tanzania has dar es salaam kuna tatizo mahali kama hizi nyumba watu wanapangisha kirahisi inawezekana kuna pesa ambayo si halali ipo kwenye mzunguko. Watu wengi mishahara yao ni midogo kuweza kulipa milioni moja kwa mwezi kama pango. Kitomai hizo nyumba zinalipiwa kwa mwezi au kwa mwaka?
Demand and supply. Gonga google kujuwa ni nini hicho.