hapo kuna m 5 plus kodi miezi 6,sasa hata km mtu kapenda nyumba m 5 ghafla .inabidi usamehe tu.Tatizo hiyo bei, pitapita city center watu wamerudisha flemu na ofisi, kwanza kwa sasa mkupuo wa kodi ya miezi 6 sahau, mimi wapangaji wangu nimewaambia wanilipe kodi kila mwezi.
Tatizo hiyo bei, pitapita city center watu wamerudisha flemu na ofisi, kwanza kwa sasa mkupuo wa kodi ya miezi 6 sahau, mimi wapangaji wangu nimewaambia wanilipe kodi kila mwezi.
Wengine wanazaninua kisha wanazipangisha,sioni ubaya hapo,ndo ubepari wenyewe huo.Tena hapo ukiwa mjanja unaichukua kwa 600k kisha unaifanya AirBnB,20$-30$ per night.location nzuri ile.Daah watu mnadhambi sana...
Mshaanza kuzishikilia hizo apartment na kuzipigia cha juu...
Cc: mahondaw
Wengine wanazaninua kisha wanazipangisha,sioni ubaya hapo,ndo ubepari wenyewe huo.Tena hapo ukiwa mjanja unaichukua kwa 600k kisha unaifanya AirBnB,20$-30$ per night.location nzuri ile.
well said, miezi sita hat serikali hailipi hivyo, soma ripoti ya cAG, ccm wenyewe wameshindwa kupeleka hela NSSF, sasa hiyo nyumba pangisha kwa 400,00 na ilipwe kila mwezi ndio utapata mpangaji.Tatizo hiyo bei, pitapita city center watu wamerudisha flemu na ofisi, kwanza kwa sasa mkupuo wa kodi ya miezi 6 sahau, mimi wapangaji wangu nimewaambia wanilipe kodi kila mwezi.
asante kwa kusema ukweli, mikocheni kwa mwinyi mpaka maeneo ya clouds nyumba ni laki tano 500,000/- hiyo ya magomeni fugieni majini na waganga wa kienyeji wanaotoka kigoma kuagua waswahiliMkuu kuna mahali unakosea Yaani apartment pale 750,000 kuwa mkweli umeongeza cha juu ..nikuunganishe na mtu apange
Maana tumepata nyumba full bahari beach kodi 500,000 kwa mwezi
Faza house naomba nafasi ikitokea unishtue..napenda sana kina Faza house kama wewe.Tatizo hiyo bei, pitapita city center watu wamerudisha flemu na ofisi, kwanza kwa sasa mkupuo wa kodi ya miezi 6 sahau, mimi wapangaji wangu nimewaambia wanilipe kodi kila mwezi.
Unataka kunambia zile apartment za vyumba vitatu pale Watumishi bei elekezi ni 250k?,sikuwa najua hilo mkuu.Hizo ni hujuma... apartment ya 250k kwa bei ya serikali ukamfanyie mwenzake 700k...
Serikali iliangalie hili nalo la wapangaji hewa... kwenye nyumba za serikali...
Cc: mahondaw