Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
habari wana jf
natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mikocheni A,msasani au karibu na masaki. nyumba iwe self contained ya kawaida na bei isizidi laki nne kwa mwezi. mwenye taarifa yoyote juu ya hili naomba anijulishe tafadhali natanguliza shukrani.