Jameel2013
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 824
- 762
Less than £100 per week haipo kodi hii unayo sema wewe laabda ili kuwapo miaka 20 au 30yrs iliyo pita sio sasa hivi.Hii hapana kaka sio kweli .....kama unaweza kupanga apertment ya vyumba viwili kwa less than £ 100 London .......LONDON nimiongoni ya MIJI yenye Rent ya nyumba iliyo kuwa kubwa kuliko MIJI mingi MIKUBWA DUNIA .
Yes, nyumba ya vyumba vi2 au vi3 unapata kwa less than £100 ambayo sawa na $130 kwa wiki.
Kwahiyo, kwa mwezi itakuwa kama £400
Kaka london hakuna uswahilini mji wote upo planned kuna vitofauti vidogo vidogo tuPengine London uswazi choka mbaya.
London kwa jina lingine inaitwa Greater London ni dunia ya kwanza mjomba. Husijidanganye, hamna slums za uswazi kama kwetu Dar.Pengine London uswazi choka mbaya.
Kaka london hakuna uswahilini mji wote upo planned kuna vitofauti vidogo vidogo tu
Kwahiyo una compair huko na kwenu uswazi? East Ham na Brixton ni well planned hamna slums wala uswahili except watu weusi na wahindi ni wengi maeneo hayo.Nenda East Ham au Brixton.
Kwahiyo una compair huko na kwenu uswazi? East Ham na Brixton ni well planned hamna slums wala uswahili except watu weusi na wahindi ni wengi maeneo hayo.
Kabla ya immigrants kwenda London miji hiyo ya East Ham na Brixton ilikuwa wazungu watupu. Sasa unasema uswahili sababu ya uwepo wa watu weusi na wahindi? Waswahili ni watu waongeao kiswahili east africa siyo watu weusi wa UK au America.Nenda East Ham au Brixton.
Panya wako duniani kote. Panya akipata access ya kuingia kwenye nyumba anaingia hata ikiwa ya kifalme.Ila kwa bei ya £ 400 kwa mwezi itakuwa ni nyumba iliyojaa panya na mende, nyumba zinazopangishwa na wadosi.
Kuna nchi hisiyokuwa na panya? Labda uswazi kwenu hamna panya!Ila kwa bei ya £ 400 kwa mwezi itakuwa ni nyumba iliyojaa panya na mende, nyumba zinazopangishwa na wadosi.
Unenielewa kwa kina aiseee ila Africa bado sana aiseeeIli mbongo wa kawaida aweze kupangisha hiyo apartment, inabidi awe na mshahara siyo chini ya $1200 kwa mwezi. Na ukiangalia wafanyakazi wa chini serikalini hawapati mishahara hiyo. Wakati wafanyakazi wazungu wa kima cha chini wanapata more than $1200 per month ktk nchi zao.
Wenzetu walio endelea wanajenga nyumba za council ili wananchi wao wapange kwa bei nafuu, wakati Shirika la nyumba (nhc) bongo linajenga kwa ajili ya matajiri. Ndiyo bongo yetu.
Kuna nchi hisiyokuwa na panya? Labda uswazi kwenu hamna panya!
Let's agree to agree that you are wrong. I'm talking oranges and you talking lemon.Let us agree to disagree. You are talking oranges and I am talking apples.
Let's agree to agree that you are wrong. I'm talking oranges and you talking lemon.