Ya ni kwa ajili ya watz wanaoishi nje ya nchi. Inalipa mkuu ..short let...wateja ni wengi tatizo kuna wakati utakuwa huwa wateja
Nimekuwa nikipitia website mbali mbali zinazotoa matangazo hapa TZ, kuna ubabaishaji mkubwa sana. Kuna tangazo la apartment hizi hizi za Ilala mchikichini, sijui ni wewe mwenye hilo tangazo au ni mtu mwingine, kama ni wewe basi jirekebishe, otherwise utakuwa unachanganya wateja wako.
1. December 15, 2014. Tangazo liliingia kupatana.com likionyesha apartment inakodishwa kwa $450/=
Mchikichini Resident | Dar es Salaam | Kupatana
2. January 5, 2015. Tangazo liliingizwa tena kupatana.com, mara hii kodi kwa mwezi ni Sh. 800,000/=
APARTMENT FOR RENT | Dar es Salaam | Kupatana
3. January 12, 2015. Tangazo likaingizwa kwa mara ya tatu kupatana.com, kodi ikisomeka Tsh 100,000,000/=
NHC Mchikichini apartment | Dar es Salaam | Kupatana
4. January 13, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya nne kupatana.com, kodi ikiwa Tsh 1,000,000/=
APARTMENT FOR RENT | Dar es Salaam | Kupatana
5. February 25, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya tano kupatana.com, kodi ikiwa $ 1,000/=
3bdrm for Rent at Ilala, Mchikichini, Dar es salaam | Dar es ...
Kutokana na namba moja ya simu kutumika mara zote tangazo linapotolewa, inaonyesha tangazo ni la mtu mmoja, leo hii lipo jamiiforums bei ikiwa tsh 1.4million.
Je leo hii nikikupigia simu nikahitaji hiyo apartment kwa Tsh. 800,000/= kwa mwezi kama ulivyoeleza hapo nyuma utakubali?
Jipange mkuu, unapoteza wateja.
Salamu mkuu,
Kwa nashukuru kwa kujijulisha kuna hiyo kitu inaitwa kupatana ndio kwanza naishikia kwako,
kuhusu hilo TANGAZO sio langu, nimetangaza mtandaoni leo kwa mara ya kwanza na ni hapa JF,
ila pale mchikichini kuna APARTMENT 48 hivyo yawezekana kuna mtu mwingine anapandisha pia ameweka huko, hizi apartment zilianza kubabidhiwa mwaka jana mwishoni hivyo hivyo nafikiria kwamba kuna mtu anatangaza appartment yake
Nimesoma tarehe hizo za kupatana nikizani ni za leo ila ni tofauti hivyo sio tangazo langu.
Nadhani aliye Tangaza alikubaliana na pressure ya madalali, kama una namba yake mpigie mimi sijaweka namba kwenye mitandao nimetumie email
Lakini pia nikujulishe naenda kuweka TANGAZO huko kupatana baada ya wewe kuitaja hapa kwa hii bei yangu, nikushukuru sana kwa kunijulisha huo mtandao, na kama unaijua mingine nitashukuru pia kwa taarifa
Mchikichi Residential Apartments are located at Ilala-200 metres off Kawawa Road, just less than 2kms from City Centre with easy access to the airport and all other important parts of the city. The three bedroom apartments have a spacious lounge, dining, ensuite master bedroom, 2 bedrooms with a shared toilet and bathroom, a modern kitchen and utility area. All apartments have a total floor area of 115.8m² and are within gated-compound.
THANK YOU
Ume copy na ku paste kila kitu...
Nimekuwa nikipitia website mbali mbali zinazotoa matangazo hapa TZ, kuna ubabaishaji mkubwa sana. Kuna tangazo la apartment hizi hizi za Ilala mchikichini, sijui ni wewe mwenye hilo tangazo au ni mtu mwingine, kama ni wewe basi jirekebishe, otherwise utakuwa unachanganya wateja wako.
1. December 15, 2014. Tangazo liliingia kupatana.com likionyesha apartment inakodishwa kwa $450/=
Mchikichini Resident | Dar es Salaam | Kupatana
2. January 5, 2015. Tangazo liliingizwa tena kupatana.com, mara hii kodi kwa mwezi ni Sh. 800,000/=
APARTMENT FOR RENT | Dar es Salaam | Kupatana
3. January 12, 2015. Tangazo likaingizwa kwa mara ya tatu kupatana.com, kodi ikisomeka Tsh 100,000,000/=
NHC Mchikichini apartment | Dar es Salaam | Kupatana
4. January 13, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya nne kupatana.com, kodi ikiwa Tsh 1,000,000/=
APARTMENT FOR RENT | Dar es Salaam | Kupatana
5. February 25, 2015. Tangazo liliingizwa kwa mara ya tano kupatana.com, kodi ikiwa $ 1,000/=
3bdrm for Rent at Ilala, Mchikichini, Dar es salaam | Dar es ...
Kutokana na namba moja ya simu kutumika mara zote tangazo linapotolewa, inaonyesha tangazo ni la mtu mmoja, leo hii lipo jamiiforums bei ikiwa tsh 1.4million.
Je leo hii nikikupigia simu nikahitaji hiyo apartment kwa Tsh. 800,000/= kwa mwezi kama ulivyoeleza hapo nyuma utakubali?
Jipange mkuu, unapoteza wateja.
ilala kwa dola zaidi ya 800?
Hapana ni apartment tu ya vyumba vitatu
Wewe ingekuwa yako ungepangisha kwa ngapi mkuu?
Wewe ni mtu mungwana na mwelewa sana, kuna watu humo wakiona kitu hawana uwezo nacho hata kama ni kizuri vipi watatafuta namna ya kukiondolea sifa, pia biashara ni maelewano sasa kwa nini kurusha kashfa, i hope ni watoto wa shule ndio wanafanya hivyo, imagine mtu anasema unadhani hela tunaokota, as if kujenga watu wanatumia vifuu vya kuokotaNice..kila kitu na watu wake..bei si tatizo
ehh haya bana...wenye hela nendeni
Kiongozi offer yak iko chini sana, kumbuka mwenye nyumba lazima alipie vitu kama ulinzi ( kuna walinzi wawili kwa shift na ni 24 hours) pia usafi na matunzo ya busitani, bills zinazokuhusu ni maji na nishati tu.Mkuu Kwa Tsh 900,000 Kwa Mwezi tumalize biashara, maana natafuta apartment Karibu na mjini mwanangu amenisahu maana natoka majogoo narudi usiku amelala, niko serious Mkuu