martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,562
- Thread starter
-
- #21
kabisa mkuu jf ni kisima cha maarifaHii ndio jamii forum,mtu unaweza kuchota maarifa kibao toka hapa,hapa hutakosa Neno lililotimia. Na Wewe ndio mwanaume halisi,unaeweza kujifunza,kujirekebisha na kusonga mbele kishujaa kabisa ukijiamini. Hongera kwako kijana
Huenda uko sawakuchelewa ni pale umepata mtoto anashindwa akuite baba au babu
anza mazoezi kabisa hahahaHongera mkuu tunasubiri kucheza kwaito
selikali imekataza mikusanyiko siku hiyoHongera sana mkuu hiyo ndoa wafanye october 28
selikali imekataza mikusanyiko siku hiyo