mwakafuka1981 Member Joined Mar 21, 2015 Posts 21 Reaction score 3 Mar 21, 2015 #1 Kuna tetesi wakazi wa jimbo la dodoma mjini wanataka kumkabithi kijana jimbo kama wewe ni mkazi wa dodoma naomba nipate maoni yako juu ya tetesi hizi kwani huu ndiyo wakati muhafaka
Kuna tetesi wakazi wa jimbo la dodoma mjini wanataka kumkabithi kijana jimbo kama wewe ni mkazi wa dodoma naomba nipate maoni yako juu ya tetesi hizi kwani huu ndiyo wakati muhafaka
andromena JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 587 Reaction score 671 Mar 21, 2015 #2 ngumuuuuuuuu.
K king of zemunda2 Member Joined Nov 2, 2014 Posts 95 Reaction score 39 Mar 21, 2015 #3 Kijana anafaa na juhudi zake wengi tumeziona na ni mpambanaji kiukweli anastaili kupata jimbo,na kiufupi amesha chukua bado kuapishwa tuuu
Kijana anafaa na juhudi zake wengi tumeziona na ni mpambanaji kiukweli anastaili kupata jimbo,na kiufupi amesha chukua bado kuapishwa tuuu
Bravo H JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 221 Reaction score 88 Mar 21, 2015 #4 Safari hii tutawapa wapinzani kwa miaka 50 atujawai kupata mbunge tukajivunia tunambunge
bushman JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,413 Reaction score 747 Mar 22, 2015 #6 hafai.anapoteza muda.