Continental Decorder ni wababaishaji na mmekosa ubunifu, jirekebisheni

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,211
4,170
Rejea kichwa cha habari. Mmekosa ubunifu wa vipindi kwenye station za Kingamuzi hiki.

Mfano station ya Star cinema. Picha zinarudiwa kila siku.

Kuna baadhi ya station hazionyeshi kwa Muda mrefu sasa bila kutatua shida hiyo.

Mmetuahidi kuongeza station hamjafanya hivyo.

Mmetuahidi kuonyesha Afcon kupitia ZBC2 lakini station hiyo imeota mbawa tangu Jumamosi bila kurekebisha? Wakati wenzenu wa Azam Tv ZBC2 ipo hewani.

Yakupasa utafute mtu mwingine. Mwenye weledi wa kiutendaji na mbunifu.

Punguzeni station wekeni station chache lakini zinaprogram nzuri na kuvutia watazamaji.
 
Rejea kichwa cha habari. Nikutokana na kukosa ubunifu wa vipindi kwenye station za Kingamuzi hiki.

Mfano station ya Star cinema. Picha zinarudiwa kila siku.

Kuna baadhi ya station hazionyeshi kwa Muda mrefu sasa bila kutatua shida hiyo.

Mmetuaidi kuongeza station hamja fanya hivyo.

Mmetuahidi kuonyesha Afcon kupitia ZBC2 lakini station hiyo imeota mbawa tangu jumamosi bila kurekebisha? Wakati wenzenu wa Azam Tv ZBC2 ipo hewani.

Yakupasa utafute mtu mwingine. Mwenye weledi wa kiutendaji na mbunifu.

Punguzeni station wekeni station chache lakini zinaprogram nzuri na kuvutia watazamaji.
Vipindi vizuri kwa nani??
Nadhani shida yako ni mpira. Omba utawekewa, hii ya kupunguza au kufukuza siyo msamiati mzuri kwa mtu mwenye familia yake. Ungeshauri wapatiwe semina elekezi au mafunzo kazini. Wewe ninavyokuona hauna tofauti na jamaa yetu fulani hivi.
 
Jibu la hekima. Hongera Admin kwa kujali professionalism input ya watu wako.
 
Back
Top Bottom