Timu ya soka ya Tottenham Spurs imetangaza kumfuta kazi Antonio Conte , Conte amefutwa kazi kutokana na mgogoro na wachezaji wake pamoja na mwenendo usioridhisha wa Timu hiyo.
---
Klabu ya Tottenham imetangaza kuachana na kocha Antonio Conte kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Cristian Stellini atakuwa kocha mkuu mpaka mwisho wa msimu, akisaidiwa na Ryan Mason.
Conte ambaye alijiunga na Spurs Novemba 2021 kwa mkataba wa miezi 18,anaondoka akiiacha timu hiyo nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu nchini England.
---
Tottenham have parted company Antonio Conte after the Italian slammed his players as "selfish" after last Saturday's 3-3 draw with Southampton.
Spurs say that Conte's assistant Cristian Stellini will be acting head coach for the rest of the season, with Ryan Mason assistant head coach.
Conte departs Tottenham after 16 months in charge following an extraordinary rant against his players after they threw away a 3-1 lead at rock-bottom Southampton to cap a miserable March for the club.
It saw them dumped out of both the FA Cup and the Champions League to leave them without a trophy for another season stretching back to 2008.
Daniel Levy said in a statement: "We have 10 Premier League games remaining and we have a fight on our hands for a Champions League place. We all need to pull together. Everyone has to step up to ensure the highest possible finish for our club and amazing, loyal supporters."