Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
hiyo ni java sidhani kama kuna antivirus ya java format',,,Wadau Jf nokia 5000 inawezasapot antivirus. . . ?
unatumia express music gani? kama ni 5130 hiyo ni S40 huwezipata antivirus za java, kama ni 5530, 5230 au 5800 sema utaftiwe...😛eace:Wadau.
Naombeni msaada wa antivirus ambayo naweza kuitumia kwenye kimeo changu Nokia XpressMusic. Nimekumbana na virus anafuta file moja baada ya jingine na kibaya zaidi hata pale kwenye option ya shortcut ya GO TO amevuruga option ya ku Organise folders na siwezi kuchukua file kwenye application yoyote.
Naombeni msaaada maana kuflash ni hatari zaidi hasa kwa kupoteza certificate za simu ambazo ndio mujarabu kwa net.
Mimi nayo Antiquin nisuper tuma no yako simu nikuinvite then hyo msg itakuwa ndo link unaingia automaticalyJamani hebu saidieni mbona kimya wadau!?