Na sipendagi style yake anapenda sana kupiga jab then anakuhug, but hiyo style inawork kwa hao heavyweight wadogo kama kina Chisora, kwa magiant kama AJ sidhani kama itawork ukizingatia AJ anapiga combination so hatapata chance ya kufanya hivyoHuyo Pulev hana lolote, ni mzito na AJ anajua anaenda kuchukua points tu hapo tena kwa KO
Alishapigwa na Vladimir Klitschko...
Hapo mpesa imetumikaaAJ mapema sana anamkilisha mtuu
Watamuua hao watu...wale wakatili sana,wana roho mbaya mno.Huyo Pulev hana lolote, ni mzito na AJ anajua anaenda kuchukua points tu hapo tena kwa KO
Alishapigwa na Vladimir Klitschko
AJ apigane na Tyson Fury au Deontay Wilder ndio tumpime hapo.
Tyson Fury ndio kipimo tosha, huyo Wilder hana lolote kelele nyingi tu.Huyo Pulev hana lolote, ni mzito na AJ anajua anaenda kuchukua points tu hapo tena kwa KO
Alishapigwa na Vladimir Klitschko
AJ apigane na Tyson Fury au Deontay Wilder ndio tumpime hapo.
Wilder alikuwa anakuja juu sana bahati mbaya kapunguzwa spidi na Tyson FuryTyson Fury ndio kipimo tosha, huyo Wilder hana lolote kelele nyingi tu.
Ngumi anarusha bana sema defence ndo hamna kituAj anashinda kweupe tu jamaa mzito sana mikono