ni kuhusu yale maandamano ya tarehe 26 hii ndio mipango yetu ipo 36Kwa kweli hapa leo sijaambulia kitu,alieelewa anitafsirie tafadhari
Hivi ukikuta mfano mwl wako ametunga maswali afu ukaona mengine kakosea ikiwa ni pamoja na gramatic error unalijibu au unaacha? Hii lugha ni vema tu ungeandika kwa kiswahili!
Ok ok that is because that you are not know these language of english.Nilichoelewa ni point ya 4 na ya 32
Hahaha yani ilibidi nigugoUm
umetoa wapi dikshenali..hahaha
Ikija uniiteHii inafanya kazi kwa wanaojua kiingereza tu. Usihangaike sana ya kiswahili itakuja.
Ukielewa unajibu tuHivi ukikuta mfano mwl wako ametunga maswali afu ukaona mengine kakosea ikiwa ni pamoja na gramatic error unalijibu au unaacha? Hii lugha ni vema tu ungeandika kwa kiswahili!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf burudanini kuhusu yale maandamano ya tarehe 26 hii ndio mipango yetu ipo 36
Hahahah naomba tuongozane wote kwa rasi simba[emoji23] [emoji23]Ok ok that is because that you are not know these language of english.
Tumiya kiswairi kingeleza tuwachie wasomi.
Hahahahahahahaha
Haha huu mwandiko kuna jamaa mmoja anaitwa RobeRt MJoMBa ndo hua anaandka hivyoOk ok that is because that you are not know these language of english.
Tumiya kiswairi kingeleza tuwachie wasomi.
Hahahahahahahaha
Hahahah naomba tuongozane wote kwa rasi simba[emoji23] [emoji23]
Mi sijawahi kushuhudia mtu kajifunza huko,naonaga tu matangazo kwamba ndani ya miezi mitatu unakua umejua kuandika na kuzungumza kingreza,usipoelewa ndani ya hiyo miezi mitatu basi we ni kichwa mzigo amekushindwa anakurudishia hela yako[emoji23] [emoji23] kwa iyo inasemekana jamaa yuko full nondo kwenye ufundishaji wa hi lugha ya malkiaHivi kweli watu wanajifunza inglish kwa rasi simba..and wanaelewa
haha then twenzetu basi,tusipoelewa SI hela inarudi..??ofisi zao ziko wapi?Mi sijawahi kushuhudia mtu kajifunza huko,naonaga tu matangazo kwamba ndani ya miezi mitatu unakua umejua kuandika na kuzungumza kingreza,usipoelewa ndani ya hiyo miezi mitatu basi we ni kichwa mzigo amekushindwa anakurudishia hela yako[emoji23] [emoji23] kwa iyo inasemekana jamaa yuko full nondo kwenye ufundishaji wa hi lugha ya malkia
Tukielewa je[emoji23] au ndo tutajifanya vichwa ngumu....haha then twenzetu basi,tusipoelewa SI hela inarudi..??ofisi zao ziko wapi?
tukielewa sasa ndo tunakuja JF kuwavimbia,Kila post sisi Nye Nye Nye,yes,ofcoz..hahaha hadi tupande chati...Tukielewa je[emoji23] au ndo tutajifanya vichwa ngumu....
Ofisi sijui zilipo
Watatutia vichomi[emoji23]tukielewa sasa ndo tunakuja JF kuwavimbia,Kila post sisi Nye Nye Nye,yes,ofcoz..hahaha hadi tupande chati...
mzungu harogwi boss,haha labda wamtafte mganga WA kienyeji ambae ngeli inapanda kutuzidi..Watatutia vichomi[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mzungu harogwi boss,haha labda wamtafte mganga WA kienyeji ambae ngeli inapanda kutuzidi..
Nlikua nafkir umeelwaKwa kweli hapa leo sijaambulia kitu,alieelewa anitafsirie tafadhari