Haha ozil bado mlaini sana kwa huyo, hiyo misuli kama cr7Ana bonge la msuli mguuni kama Mesut Ozil[emoji4]
Halafu ana mikono mifupi kama ya John McCain(R.I.H)Ana bonge la msuli mguuni kama Mesut Ozil[emoji4]
Ndiyo maisha ndugu yangu, Wakati wengine hata hatujui mchana wetu utakuaje.Born with a silver spoon
Yaaani kwanzia akiwa mimba yeye ana maisha.Ndiyo maisha ndugu yangu, Wakati wengine hata hatujui mchana wetu utakuaje.
Hakika na sidhani kama wanajua kama pesa inapungua kwa sababu utajiri waliyokuwa nao ni hadithi nyengine.Yaaani kwanzia akiwa mimba yeye ana maisha.
hahaha ozil wamuonea ". huyo ni kama ramos tuAna bonge la msuli mguuni kama Mesut Ozil[emoji4]