Umesema ukweli.Hilo la kujenga kiholela ni mbaya sana, cz ukiangalia dar wengi hzo nyumba wanazimiliki..so kumuondoa ni ngumu sana...
Thats why serikali inapata wakati mgumu sana kufanya uamuzi wa haraka...
Angalia km nairobi..karibia slums zote ni ardhi ya serikali..sidhani km kuna mtu ana hati ya yale maeneo...tatizo wansiasa wetu huweka mbele sana kura...mdo manake hata kuwa evict ni ngumu..
Wacha kura pekeake,hata human rights wataingilia kati...unaweza kuleta vita nakwambia...
Ukwel mnaujua kuwa hao ni wakenya na sio watz. Anaewaeka hapo kwa lengo la kupata hela nampa thumb up but ni mpuuz kutumia tz kama kiki akeTanzania aibu ya ulimwengu. Miaka 60 ya usalama na umoja, na export kubwa yenu Kenya ni omba omba.
Umesema ukweli.
Lakini kwa huku kwetu mpk serikali inunue maeneo wayavunje ndio wayarekebishe.
Wanajitahidi some how.
Ila mm nashindwa kuelewa hivi kwann hawa wanasiasa wenu wanashikilia sana hzi slum?
Na wenzenu wamekua wakisema kuwa serikali hugeuza slums kuwa vitega uchumi ebu nieleze kaka kwa namna ipi yan wanapataje pato hapo serikali yenu kupitia slums?
Mkuu ndio maana nimeuliza.Wacha kujitoa ufahamu mkuu..umeskia wapi serikali ikaweka slums kw ajilli ya mapato...
Labda unambie NGOs wa cook data ndio wapate hela nyngi za wafadhili
Mkuu ndio maana nimeuliza.
Kuna wenzako husemi kuwa wanasiasa wenu hutumia zile sehem kuvutia hela mm nilitaka kujua tu wanafanyaje fanyaje hao wanasiasa wenu ?!
Maanake nimeshindwa kuelewa hadi sasa nimeuliza tu .
Mfano Kennedy aliwahi litamka hili.
Ukwel mnaujua kuwa hao ni wakenya na sio watz. Anaewaeka hapo kwa lengo la kupata hela nampa thumb up but ni mpuuz kutumia tz kama kiki ake
Wakenya wenye akili timamu wanafafamu hao omba omba ni mradi wa wakenya huko,
Ila mjinga anayependa kubishana ujinga kama wewe utatumia ili ujazie argument yako, jifunze kusoma vitabu ili upate maneno ya kutumia kwenye argument [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kuhusu hawa majambazi wenu waliojaa kwenye magereza yetu huku.
Njoo uchukue ankal zako tumewafunga huku kwa ujambazi na wizi.
Uncle zangu mliofunga wanaweza toshea matatu moja.
Omba omba wenu walio huku ni drimulaina zaidi ya mia moja.
Kw akili zako we waonaje
Omba omba mradi wa Wakenya? Kwanini wasitumie wakenya wenzao?
Kwa sababu Kenya hakuna umaskini kama Tanzania. Hawatapata omba omba wakenya waliotayari wakufanya biashara hizi.
Lakini Tanzania soko ni kubwa.
Nani kasema!!
Je wale wapika mbwa kisa njaa sio maskini!!
Je wakodisha wake kwa wazungu sio maskini!!
Hongereni sanaMkenya wa kawaida ana mshahara mara tatu ya Mtanzania.
Wachina hula mbwa kila siku. Kula mbwa sio shida.
Shida ni kula albino.
Leta ushahidi kuwa twala albino.Wachina hula mbwa kila siku. Kula mbwa sio shida.
Shida ni kula albino.
Dah bro am surrendering.
Una enjoy na nini mkuu?Ahhh!!! Mi raha tu, na enjoy [emoji28][emoji28]
Ubishi wenu huu, yani kusoma hii thread in kama kucheki movie ya comedy.Una enjoy na nini mkuu?