babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,253
- 35,651
M mwenyewe nimeshangaa...nyumba ya ksh1000 kwel...tena katika jiji kuu...
Hii ni ya 90s mkuu...unawaonea bure
Hio inaonyesha kwamba Tanzania bongolala ni LDC ambayo haiwezi saidika. Aibu iliyoje.
Angalia nchi zote tajiri, kisha uangalie rent zake kwenye city zao.
Tanzania inakimbizana na South Sudan, Burundi na Somalia kwenye uchache wa pesa ya rent.
Je cape town au jorbug utasemaje....
Mbna vitu siku vinabadilika kulingana na hatua nchi inayopiga...
Kweli kabisa...km mtu ywalipa rent elfu saba kw mwezi na hana kazi ya maana...si akienda bongo si atajiona tajiri
Ukubwa wa gharama unaonyesha utajiri wa nchi.
Hata USA utapata wananchi wa huko wakilalamika kwamba wages zao ziko chini.
Hakuna nchi yoyote utawahi pata wananchi wakisema wametosheka na pesa.
Tanzania ni LDC. Mishahara yenu ni LDC. Gharama zenu za maisha ni LDC.
Mkenya wa kawaida ana mshahara mara tatu ya Mtanzania.
Lakini nan anafurahia maisha kwa unafuu!?
Wacha tufe njaa, lakini albino hatuli.Njaa imewapunguzia uwezo wa kufikiri.
Wacha tufe njaa, lakini albino hatuli.
Vipi hii aibu kwa Ulaya ama!!!
Tanzania hata hamna magari ili mlie bei ya mafuta.
Gharama ya maisha iko juu Kenya, kwa sababu standards za maisha ziko juu.
Hosptali - standards juu, gharama juu.
Masomo - standards juu, gharama juu.
Magari, wengi Kenya wanayo, pesa ya mafuta watahitaji.
etc.
Tanzania ni exact opposite ya hayo yote.
Dikteta according to failed state kenya.
Zungumza uongo ili ujifurahishe [emoji23][emoji23][emoji23] inaruhusiwa pia.
Sasa mbona mldc kunyaland failed state mnapewa misaada ya chakula karne hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Counties 24 zinateseka kwa kukosa chakula,
Kila mwaka mnapewa misaada ya chakula,
Slum kila kona yaani ukitizama Google Map unaona slums kila kona.
Mkenya wa kawaida ana mshahara mara tatu ya Mtanzania.
Usifananishe SA na Kenya bob.
Keep talking about past news to satisfy yourself,Endelea kuficha kichwa mchangani.. [emoji23] [emoji23]
Ulimwengu mzima unajua Makufuli ni dikteta.
View attachment 1216861View attachment 1216862View attachment 1216863View attachment 1216864View attachment 1216865
Warudishine coz mliwaleta ninyi.
Huo ndio ukweli that's why ukaquote.Basi wakujieni hawa omba omba wenu muwarudishe kwa nchi ya maziwa na asali.
Tanzania umaskini umejaa, mpaka Kenya ndio greener pastures yenu.
Ukabila uwedumaza akili [emoji23][emoji23][emoji23]Please say that again..
I think it pains you?
Night
Kenya ndio nchi inayowatax raia wake tax kubwa na za ovyo ovyo,Mkuu..hta usijisumbue na huyo dogo...
Hawa jamaa hawajielewi...wanafikiria development huja kiulaini hvo...
Km hv wakati wa magufuli kaongeza tax kiasi wanpiga kelele
Hii ndio high standards !!!Tanzania hata hamna magari ili mlie bei ya mafuta.
Gharama ya maisha iko juu Kenya, kwa sababu standards za maisha ziko juu.
Hosptali - standards juu, gharama juu.
Masomo - standards juu, gharama juu.
Magari, wengi Kenya wanayo, pesa ya mafuta watahitaji.
etc.
Tanzania ni exact opposite ya hayo yote.
Hawa ni vipofu wamefikaje Nairobi ??!!!Tanzania aibu ya ulimwengu. Miaka 60 ya usalama na umoja, na export kubwa yenu Kenya ni omba omba.
Endelea kuficha kichwa mchangani.. [emoji23] [emoji23]
Ulimwengu mzima unajua Makufuli ni dikteta.
View attachment 1216861View attachment 1216862View attachment 1216863View attachment 1216864View attachment 1216865
Hii ni toka 2015 tuletee current news walau za mwaka jana kuhusu mauaji ya albino.
Hakuna cha kiburi wala nn.Vile vile inakuja kw kenya na tanzania...
Nadhani umenielewa...vinginevyo itakua kiburi tu..
Hakuna cha kiburi wala nn.
SA hawana maisha mbovu km ninyi.
Wakenya mna hali mbaya ninyi bakini kujivunia majengo hayo ma sky scrapers ilhali raia wengi mmepanga daily mnawaza ulipaji kodi.