Ndugu mtumishi,mama SSH aliahidi kutoa "pekeji" iloshiba.Basi,iweni na subra.Aaaamiin!🙏Habari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
Ukome kuchagua CCMHabari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
Siyo a-deal na mtangaza matokeo ya uchaguzi kabla hajatubu kwa Mungu?Ukome kuchagua CCM
Ndiyo hayo maV8 unayaona huko mtaaniHabari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
Mbona nasikia hata walioahidiwa kulipwa mapunjo yao ya kikokotoo nao wamepigwa na kitu kizito kichwani?tukiwaambia achaneni na serikali za kidhalimu hamsikii.mtaliwa vichwa mpaka akili iwasogeeHabari zenu watumishi mnaosubiri mishahara.
Mwaka jana likitolewa tamko kuwa annual increment tutaiona mwezi wa 8,,, lakini mwaka huu sijabahatika kusikia lolote kuhusu suala hilo. Kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu jambo hilo naomba kufahamishwa
Ndugu zangu wa mashambani, na mabodaboda ndio wanaoichaguaUkome kuchagua CCM