A man of God
Member
- Sep 5, 2015
- 65
- 14
Hapana mkuu rekebisha tittle hajasema chagua Lowassa ila kasema wananchi wachague vyama vya upinzani kwa kusikiliza sera zao then wafanye maamuzi sahihi.
Vyama vya upinzani vipi vingi vilivyosimamisha wagombea urais kama Chauma, Adc, Act wazalendo au CCk. So sio lowassa pekee ndo anawakilisha upinzani.
Haishangazi, ilisemwa toka awali kwamba ACT inafadhiliwa na lowasa.Nimeona ITV mama Ana Nghwira anasema kuwa watu wasifanye makosa tena ya kuipigia kura Ccm.
Amedai kuwa kwa sasa wanapaswa kuangalia zaidi vyama vya upinzani kuliko kuipigia CCM kwani katibu wake mkuu amethibitisha wazi kuwa CCm imeoza.
Katika kipindi hiki vyama viwili tu vyenye nguvu CDM na CCM ambapo ktk upinzani ni Chadema na hivyo kitendo cha mama kuomba watu waangalie upinzani ni kupigia kampeni CDM
Yah, ACT wanafanya kampen safi kasoro habib
Na chiku abwao
😂😂😂 mchange na Chiku wanawakomesha Cdm
dalili mojawapo ya kansa ya akili.Haishangazi, ilisemwa toka awali kwamba ACT inafadhiliwa na lowasa.
Baada ya hali ya kampeni kuwa ngumu na matumaini ya ushindi saa 4 asbh kuyeyuka sasa mnaanza kuitamani ACT ambayo mwanzo mliitukana sana ha ha ha.
dalili mojawapo ya kansa ya akili.
Zimeyeyuka vip??????,au unaandika kitakachokufurahisha tu;-)wanaume wapo mlangoni kwako kuja kukulipia mahali kwa ajiri ya ndoa tarehe 25.baba yako keshakubali.
Hapana mkuu rekebisha tittle hajasema chagua Lowassa ila kasema wananchi wachague vyama vya upinzani kwa kusikiliza sera zao then wafanye maamuzi sahihi.
Vyama vya upinzani vipi vingi vilivyosimamisha wagombea urais kama Chauma, Adc, Act wazalendo au CCk. So sio lowassa pekee ndo anawakilisha upinzani.
Baada ya hali ya kampeni kuwa ngumu na matumaini ya ushindi saa 4 asbh kuyeyuka sasa mnaanza kuitamani ACT ambayo mwanzo mliitukana sana ha ha ha.
Tuhakikishe chadema inakufa mwaka huu na kuzikwa rasmi. Wana ccm na wapenda haki tuwaase mashabiki mihemko waangalie waadilifu na waachane na wapiga dili kina sumaye. Huwezi kuleta Maendeleo kama nchi imeja rushwa, lini fisadi mkuu akapambana na rushwa?