Tambie mbadala wa Shomari kapombe na Shabalala Kwa upande wa SimbaWakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Mkuu njoo huku
Hilo anguko umeliona Leo?
Sasa tungeongea ninj ikiwa hawakuwa na mechi?Mlikaa kimya leo mmeokota dodo,Tujipe muda
Baelezee hao.Simba miaka 4 nyuma tulikua na timu bora na kali sana ila hatukuwahi fikia ubora wa Yanga hii ya mwaka jana na huu.
Nenda ukajiuze huko BadooWakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Povu dada vp .....lofa unatiwa nnNini kimekuleta humu mpumbavu kabisa wewe.
Wewe familia yako imefaidiaka nn wewe kukomenti humu.
Familia yako inafaidika nn wewe kuwa humu jukwaani jamii forum
Ni mangapi unayofanya ambayo family yako unafaidika.
Hiyo hela yabando kwanini Basi hukununua hata mkate ukapelekea wanao.
Mpira ni burudani km ambavyo ww umalaya ulivyo burudani kwako.
Acha kupangia watu maisha.
Wewe maisha ulisomea chuo gani? Hadi ukayapatia!
Wakati mwingine neno "mkuu" linatumika vby,wengine ni wapuuzi tu..anguko linatokea lini mkuu?
Mleta uzi kile nilichokwambia kinaendelea kukukuumbua. Mechi tatu mfululizo timu imeshinda goli tano tanoWeka takwimu basi, timu haina foward wala kiungo mtengenezaji magoli.
1) mechi ya Yanga vs Simba, timu ya Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko Simba, je hao viungo waliazimwa kutoka timu nyingine?
2) unasema kuwa Yanga haina viungo watengenezaji, lakini mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne, ikiwa imefunga magoli matano huku ikitengeneza nafasi zaidi ya 15 za magoli
3) Yanga magoli matano wameyapataje kama hakuna wafungaji
TumekujaNipo hapa mtakuja kunikumbuka
Watu wa dizaini hiyo wengi wao huwa hawafanikiwi kiuchumi.Ukiachana na utumbo wa mleta mada. Hii comment yako ni utumbo namba mbili. Hata kama sifaidiki kifedha sisi ndio burudani yetu, tunapopata muda wa kupumzika hatutaki kuongelea upuuzi wa siasa tunakuja kwenye michezo kupata birudani na kupooza mioyo baada ya mihangaiko.