The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,259
- 16,181
Nikiona mtu anatoa povu kisa boli huwa naona kama sjui n mtu gan ....
Whatever the performance the guys wl be paid ..but wat about your family??
Ukiachana na utumbo wa mleta mada. Hii comment yako ni utumbo namba mbili. Hata kama sifaidiki kifedha sisi ndio burudani yetu, tunapopata muda wa kupumzika hatutaki kuongelea upuuzi wa siasa tunakuja kwenye michezo kupata birudani na kupooza mioyo baada ya mihangaiko.Nikiona mtu anatoa povu kisa boli huwa naona kama sjui n mtu gan ....
Whatever the performance the guys wl be paid ..but wat about your family??
ukocha ulisomea wapi?Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Utumbo mtupu, Labda tukutajie mbadala wa hao wachezaji unaosema, mbadala wa mwamnyeto ni gift fred au dicksoni jobu, mbadala wa aucho ni pacome zouzou au abubakar salum, labda kama una jingine lileteWakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Utumbo mtupu, Labda tukutajie mbadala wa hao wachezaji unaosema, mbadala wa mwamnyeto ni gift fred au dicksoni jobu, mbadala wa aucho ni pacome zouzou au abubakar salum, labda kama una jingine lilete
Utakumbukwa kwa kusema usilolijua..Nipo hapa mtakuja kunikumbuka
Utakumbukwa kwa kusema usilolijua..
Yanga ina uongozi mahiri na unaojitambua ndio maana unaona bado hawajatulia wanahangaika na kuchwa kutwa unasikia tetezi za msuva mara makabi hii yote ni kujua nin Yanga inatafuta na inahitaji kufika wapi.
Yanga sc hakunaga mataira aiseeMimi ni YANGA damu ila VIONGOZI WA YANGA NI MATAPELI
Weka takwimu basi, timu haina foward wala kiungo mtengenezaji magoli.Hii Yanga ni mbovu sana
Timu Haina fowadi Wala kiungo Mtengenezaji wa magoli