PostGE2025 Anguko la serikali ya CCM na vibaraka wao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Superhuman 1995

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1,869
Reaction score
3,135
Wachungaji, mashekhe na ndugu zangu GenZ na wazazi wetu, CCM na genge lao wametuua na wamekunywa damu zetu na bado wanaendelea kunywa damu zetu kupitia ukatili na dhuluma wanaotufanyia.

CCM na tawala zao wanatuwinda kama ndege hakika Mungu awaadhibu kwa adhabu inayofaa na ya kutisha kulingana na maovu waliyoyafanya.
 
Tarehe october 31 Bashite alijaribu kutoroka nchi kupitia mpaka wa Namanga upande wa Kenya uhamiaji Kenya wakakataa kumgongea passport nakumzuia kuingia akarudi Tanzania kisirisiri na kuzama monduli kwa njia ya panya.
 
Nadhani Mungu katupa uwezo wa kuwaadhibu sisi wenyewe Hawa ccm tuta deal nao kuanzia mtaani mpaka magogoni ferry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…