Makonda cheo kilimzidi kimo.Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote)
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi
5. Makonda kwa Mujbu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama
PM, VP, Mpango, Sirro Mpaka Bashiru
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa Mujibu wa Bashiru
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena
Kipindi hicho wewe upo kwenu izimbyamata hata hujui maana ya smartphoneBalozi wa Burundi kuokota uchafu? Acha uongo.
Siyo kura hazikutosha,bali sema kuwa wana dsm wilaya ya kigamboni tulimkataa kata kata kutokana na tabia zake za kujiona kuwa yeye ndiye Dsm.Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa
Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha
Makonda atarudi tu
Nawewe naye ni pipa na funiko na BASHITEMbona mimi naliona anguko la uandishi wako mbovu?
Mfano badala ya kuandika aliwahi unaandika aliwai.
Kwa kauli yake nikwamba Dereva wa balozi alitupa chupa ya maji eneo la kipawa alimfuatilia Hadi mjini maeneo ya Kamata akamrudisha Hadi KipawaBalozi wa Burundi kuokota uchafu? Acha uongo.
Ubarikiwe sana pia chukua tahadhali dhidi ya corona ipo na inaua
Ujue huyo sio Britanicca mwenyewe, kakodisha jina tu.Aliwai aliwai kila sentensi. Kiswahili kinakushinda kuandika?
Sahihi kabisa ukijumilsha na machozi ya watu alio wafanyia ubaya ,huyu mtu lazima ajute moyoniMa milioni 100 au 200 au 300 hadi mabilioni aliyokua anadhulumu watu hatakaa ayaone tena
Nakwambie hadi ile X6 na Ranger alizodhulumu zitakosa mafuta atapiga mguu nakwambia
Hela hua zinaisha fasta sana ndugu
SAWA.Hayo anayofanya akiwa gizani ( yaani tusiyo yajua haituhusu. )
Ni majungu tu hayo, Makonda hakuwahi kufukuzwa kazi au kutumbuliwa
Aliachia kiti akagombee ubunge ambako kura hazikutosha
Makonda atarudi tu
Mpe, mpe za uso huyo! Na akome kabisa!Thubutu
Makonda hana uwezo wa Kufika hata Robo yangu
Exposure
Namzidi sana
Mali
I have almost €2Milion
Elimu
PhD
Yeye ana Kipi?
Au kwakuwa tunatumia majina fake
To be fair to him:Makonda cheo kilimzidi kimo.
He is a country bumpkin with neither political education nor self awareness.
Sababu pekee iliyompaisha ni kwamba alikuwa mtoto aliyetokea nyumbani kwa Godfather wake Samwel Sitta.
Alibebwa bila elimu wala kujitambua.
Na mtu ambaye hana elimu wala kujitambua utambeba itafikia pahala utamchoka tu.
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo kadhaa
1. Aliwahi kuwatangazia wanafunzi wote waliohitimu kwenda ofisini kwake kuwasaidia kupata kazi, jambo ambalo lilipelekea Umaarufu wake.
2. Makonda aliwahi kuwaweka ndani maafisa Ardhi waliochelewa kufika kwenye eneo la kazi kwenye Kupima viwanja.
3. Makonda aliwahi kumuokotesha Balozi wa Burundi uchafu (baada ya kutupa chupa ya maji mtaani akamfuata akaamuru aiokote).
4. Makonda amewahi kuwataja Wauza madawa ya Kulevya akamtaja mpaka aliyempa connection ya kazi.
5. Makonda kwa Mujbu wake ndo amekula raha kuzidi watu wote.
6. Makonda alianzisha Operation ya kuwasaka Mashoga akaambulia Ban ya Kutokanyaga Duniani kutoka kwa Pompeo.
7. Makonda aliwahi kumtamkia Sirro kwamba elfu 5 za rushwa inapita kwake.
8. Makonda aliwai Kuagiza Kontena la vifaa vya Kufundishia na Tractor ndani yake.
9. Ameomba msaada kujengewa hospitali.
ANGUKO
Hakuwa na uhusiano mzuri na viongozi wenzake kama.
PM, VP, Mpango, Sirro Mpaka Bashiru.
Akatokea kukaidi mpaka Maagizo yao, kwa Mujibu wa Bashiru.
Hayupo kwenye locus ya wanaotakiwa kushika nafasi tena.
Mkuu, sina uhakika sana, hua naskia tu ILA kwa yanayojili ktk zama hizi huenda yule mzee alikua na jicho angavu sana, Mwenyezi Mungu amrehemu huko alipo!Hivi ni kweli baba wa taifa aliwahi kutaja watu wa mikoa fulani kutopewa madaraka makubwa?
Hii nchi ina katiba sana Mkuu, usikute jamaa anakula mshahara wa ukuu Wa wilaya ya kinondoni na ukuu wa mkoa wa Dar mpaka nchi itakapokua jamuhuri nyingine.Pesa atazitoa wapi? Au kamshahara ka ukuu wa mkoa