Anguka 2015

Na lilianzia hapohapo. Nchi imeanguka kimaadili, nchi imeanguka kiusalama, nchi imeanguka kiuchumi

Imeanguka, imeanguka...
 
Mkishaamua kuendesha nchi kwa Mitambiko na Ramli unategemea nn.
 
Na lilianzia hapohapo. Nchi imeanguka kimaadili, nchi imeanguka kiusalama, nchi imeanguka kiuchumi

Imeanguka, imeanguka...
Zaidi nchi imeanguka kimaadili, ndiyo maana mnashinda mitandaoni kujadili upuuzi upuuzi tu.
 
Zaidi nchi imeanguka kimaadili, ndiyo maana mnashinda mitandaoni kujadili upuuzi upuuzi tu.

Mtaumia sana mwaka huu
Vumilieni tu
Dawa iwaingie muanguke vizuri
Sio kosa lenu ni kosa la kiongozi wenu ZAIFU
 
Zaidi nchi imeanguka kimaadili, ndiyo maana mnashinda mitandaoni kujadili upuuzi upuuzi tu.

Na kweli imeanguka zaidi kimaadili ndio maana CCM inazalisha mijizi kila kukicha, hadi mwenyekiti wa chama ni JiZi.

Nazani kwa sasa jina zuri ni hili- C. C. M=Chuo Cha Mijizi

DVC wa chuo ni m/kiti wa Chama
 
Zaidi nchi imeanguka kimaadili, ndiyo maana mnashinda mitandaoni kujadili upuuzi upuuzi tu.

Basi hata wewe humo kwani muda wote huko kwenye mitandao la sivyo mwajiriwa wa secret service ya Tanzania ambayo inafanya kazi kinyume na Katiba ya nchi kuminya wananchi wasiseme ukweli!!! Angalia wanachokifanya China ambako ndio tume-copy BBC News - BBC's website is being blocked across China.

Halafu ndio nyie mnataka kuwa-identify wanaJF kwa kuwaalika wakapande mlima Kilimanjaro sijui ili iweje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…