Usiwe mgumu kuelewa soma kwa bidii, usiwe mvivu, tumesha fafanua sana hapo juu, na makala zilizopita, kina usajiri magumashi, ajira kupata ni ngumu, wanapenda fedha wanakufelisha maksudi ili wapate hela za supp,nk zisome? tutarudia mara ngapi kama tunaimba wimbo wa taifa, usio kuwa na chorus!Fafanua basi isijekuwa wewe ni miongon mwa wale waliopigwa disko ndio maana unaponda.
Hebu toa sababu kwanini ni kibaya na hakifai mtu kusoma. Kuwa kama msomi basi sio maneno mengine toa nondo za kutosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijuwa kama disko imehusika. Kipind naenda soma chuo X kenya nilikuw naskia maneno kama haya kwa watu ila nilipofika kule ikawa tofaut kabisa na nashkuru now nipo level nzur.Usiwe mgumu kuelewa soma kwa bidii, usiwe mvivu, tumesha fafanua sana hapo juu, na makala zilizopita, kina usajiri magumashi, ajira kupata ni ngumu, wanapenda fedha wanakufelisha maksudi ili wapate hela za supp,nk zisome? tutarudia mara ngapi kama tunaimba wimbo wa taifa, usio kuwa na chorus!
By the way ku disco ni kawimbo kadogo sana kwa msomi postively. unaweza kudiscodishwa maksudi kumbe ndo unapenyeshwa kwenye neema zaidi, weee vepe!
Ndo hapa patamu, panapo umiza wengi , TCU wanahusika sana ku miss lead wanafunzi, tena siyo tu kukupa go a head, but na mkopo waserikali unao. ujue mwisho wa siku hela hii utalipa wewe,Sasa usajili magumashi unaujuwa wewe TCU hawaujuw mpaka wawaruhusu kuchukua wanafunzi.