silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
mi naishi jirani na hiki chuo ...mlioapply hiki chuo badilisheni haraka sana but ni ushauri tu.
hahah___mkuu ungefanya ushauri before ndugu wengne awajui
Hawa waliokuwa jkt ndo hawajui wanakuja washapanic habar za internet kuuliza hawajui .assume umekamatwa matatu 3×40000 in 120000 huwez kujua ugumu WA hili had use chuo
Lichuo libaya sana lile ni wezi kwanza nilijiondokea zangu mie. Afya ndo tunaijua zaidihivi kiu ni chuo cha afya tu ....mbona hampambanui uozo uliopo kozi nyingine
Wabongo kwa kudanganyana na roho mbaya zao, mnataka tufe wengi siyo? tuchekane? na hao medicine wanaojazana darasani kibaoKwasasa jayo mambo hayapo...Malecture wa kigeno karibia wote wameondolewa,msiwatishie watoto......waje kwasasa KIUT Ni mahali salama
Kulipa sup nikawaida kwa chuo cha private
kutambulika chuo kinatambulika na waliomaliza degree za medical wapo intern na wengine walishamaluzaga na kuajiriwa
kuhusu kukaa darasani wengi sana is not a case now imeshakuwa controlled kitambo,kwasasa degree ya pharmacy ina dahili wanafunzi 75 tuu na degree ya medical lab
Walimu wapo wengi na wakutosha na niwazawa
Hakuna mtaala wakigeni unaotumika TCU walishakataa kitambo na unatumika mwingine sasa na huu ni mwaka wa nne toka mtaala ubadilushwe
Karibuni Kampala International University of Tanzania
Wabongo kwa kudanganyana na roho mbaya zao, mnataka tufe wengi siyo? tuchekane? na hao medicine wanaojazana darasani kibao
Hakuna mtaala wakigeni unaotumika TCU walishakataa kitambo na unatumika mwingine sasa na huu ni mwaka wa nne toka mtaala ubadilushwe
kabisa mkuu yaaani unakwenda kusomea umaskini, na hela unatoa. bora ukasome lugaloHapo hakuna chuo
mnaipondea bure tuu
Fafanua basi isijekuwa wewe ni miongon mwa wale waliopigwa disko ndio maana unaponda.kabisa mkuu yaaani unakwenda kusomea umaskini, na hela unatoa. bora ukasome lugalo
Wamepotea kivipi mzee? Fafanua basi.Sio kuponda bure nilishawahi kusoma hapo nikakacha na watu wengi wamepotea kwenye hiko chuo