Au
The given artifact contains a string literal with a package reference 'android.support.v4.content' that cannot be safely rewritten. for androidx
I upgraded my android studio to 3.4 canary and now I cannot successfully build anymore due to the following error: The given artifact contains a string literal with a package reference 'android.s...stackoverflow.com
Nimekusaidia?!
Nimegoogle leo siku ya tatu, nimejaribu kila solution wanayoleta bado nimefail, sijajua nakosea wapi,Google haijakusaidia KABISA?
Screenshot build.gradle(module:app) file mwishoni/chini kwenye dependencies nioneNimegoogle leo siku ya tatu, nimejaribu kila solution wanayoleta bado nimefail, sijajua nakosea wapi,
niki_sync project with gradle files, inamaliza vizuri bila error yoyote, ila nikitaka ku_run project kwenye emulator ndio inaleta hiyo error
Screenshot build.gradle(module:app) file mwishoni/chini kwenye dependencies nione
Mh! Haiwezekani hiyo article ya Kwanza umeisoma yote au umeenda kwenye solution moja kwa moja
inaonekan unaforce kutumia androidX kutokana na codes ulizocopy na kupaste kutokea sehemu fln. so inabidi utumie option ya Android studio ya kushift kutoka kwenye support libraries kuja kwenye androidXHabarini jamani, napata hii error:
The given artifact contains a string literal with a package reference 'android.support.v4' that cannot be safely rewritten. Libraries using reflection such as annotation processors need to be updated manually to add support for androidx.
Naombeni msaada wapendwa.
Af matatizo mengine sio lazima upost hapa jf, uwe unacopy error unayoipata then unaipaste google hivohivo ilivyo kisha utaletewa majibu kama mia hivi ya tatizo lako, wengi wanapitia matatizo hayohayo na yameshatatuliwaHabarini jamani, napata hii error:
The given artifact contains a string literal with a package reference 'android.support.v4' that cannot be safely rewritten. Libraries using reflection such as annotation processors need to be updated manually to add support for androidx.
Naombeni msaada wapendwa.