Android Music player gani ni bora kuliko zote?

Nimeziona zote, Poweramp pamoja na jet player!! Ingawa Jet player ina ads kitu ambacho binafsi ninakereka nacho sana, lakini inakitu flani hivi tofauti ukilinganisha na Poweramp ambayo naona watu wengi watasema ni nzuri labda kwa sababu ya "skin" zake!

Zote hizo mbili kwangu mimi bado naona zitasubiri sana kwa AIMP. Iko poa na ni very simple. Unaweza ukaijaribu na kuiona! Ila ubaya wake ni audio player tu, haichezi video!

Asante!
 
Mkuu jaribu kutumia poweramp iko poa sana
 
hizo zote zinahitaji kuziset,sio unachukua tu playstore.

halafu jet ukitaka isiyo na adds nender google kachukue patched apk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…