ANDROID DEVELOPERS

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,725
Reaction score
2,411
Habari wakuu
Nahitaji mtu wa kunifundisha kwa week 1 tu, adroid app programing by using android studio.
Nimeshajifunza mwenyewe hii android studio shida kunabaadhi ya vitu ningepata ufafanuz mzuru.

Languange nilizo soma PHP java, visual basics, c++

Kama mtu yupo tayari naomba ani PM

Natanguliza shukrani

Mwenyezi Mungu awabarki.
 

kama ni mwenyeji hapa Jukwaani hizi picha sio ngeni zinaendeshwa na member hapa JF Stefano Mtango
 
aisee, zaidi ya baba Deborah ?

Yeye sio software developer.
By the way tulisoma nae pamoja computer engineering University of London.
Sema yeye alipata mchongo wa Intelligence Officer. Akaachana na hizi mambo.
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…