Anayeuza meza ya tv.

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wadau mm nshazoea kununua vitu kwa watu hadi naona vya dukani kero.
 
Kama una meza ya tv na unataka uza nipm niichukue.hela niliyonayo ni elfu 80 tu na meza iwe na hali nzuri na yenye ubora.
Nipo Tabata Dar.

kwaiyo wa dukani sio watu?
 
Wadau mm nshazoea kununua vitu kwa watu hadi naona vya dukani kero.
Kama una meza ya tv na unataka uza nipm niichukue.hela niliyonayo ni elfu 80 tu na meza iwe na hali nzuri na yenye ubora.
Nipo Tabata Dar.

Mimi nnayo mkuu. Meza nzuri tu na kwa bei poa nicheck 0715388666
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…