Anayetambulishwa saa saba leo ni Peter Muduhwa wa Zimbabwe

Waswahili wameamua tu kula hela ya Mudi! Wanakwenda kucheza mechi 6 afu wanatolewa....! Sema ndio hivyo jamaa anakata kwenye ile 2B!
hakuna hasara yoyote wamesaini miezi sita ina maana mikataba ina expire july, hata simba iukitolewa makundi ina maan ni mwezi wa tano na usajili wa msimu mpya ni mwezi wa 8 atakaye impress atakula hata miaka 2
 
Shida Yenu unatoa mifano ya Liverpool wakati hata ujui kwa nini Liverpool haijasajili.
Ulishaona timu za ulaya ziko busy na usajili msimu huu wa dirisha dogo.
Haziwezi kua kusajili sio kwa sababu hawana uhitaji ila saizi timu nyingi za ulaya hazina pesa ya kusajili.
Mi nimekupa maelezo ya simba kwa sababu Ndio ulioitaja hata kama ukutaja jina. Umesema timu imeingia group stage na timu nyingine inaenda kucheza group stage na timu mpya na kocha mpya, sasa kwa hapa Tz ni timu gani imefanya hivyo kama sio simba?
Mi ningewalaumu simba kama kile kikosi kilichokuwepo wangekivunja na kuleta kingine sawa, wamefanya kuboresha kikosi.
Issue ya covid tusiichulie masihala kama bongo tunavyoichukulia. Kuna timu round iliyopita haikumaliza round ya pili kwa sababu Wachezaji wake 11 walikua na covid.
Nafahamu vizuri sana tu kwanini team za ulaya hazijafanya usajili ila pia nafahamu history miaka yote Jan huwa hawafanyi biashara kubwa na sababu ziko nyingi na wakifanya basi inawabidi tu kwa wakati huo. wachezaji wakubwa mara nyingi wanakuwa wameshacheza CL na club zao na bei zinakuwa kubwa sababu team nyingi hawataki wachezaji kuuza kabla ya msimu kuisha, suala la corona limechangia pia katika uchumi wa clubs. Hapa kwetu ni miaka yote hata kabla ya corona ndio hivi hivi iwe Simba au Yanga huwa tunashindana kusajili.
 
Back
Top Bottom