Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Wengi tunaamini hivyo mkuu, ila yanafanyikaHakuna uchawi mkuu
kama upo, mtu autumie akachukue hela benk kuu
Bado kuna maswali mengi ya kujiuliza mkuu; najaribu kutafuta tafiti zilizofanywa na wabobezi mbalimbali, bado kuzipata.Unalogwa ulimwengu wa roho unajibu huku mwilini, ni kama kupanda mmea ukaweka mbolea na maji utastawi sana kuliko usio na mbolea au maji, changamoto ni kuzoea mbolea ukikosa unanyauka
Kuroga ni "cheating" ni kufanya sanaa... Vipi unataka nawe uwe msanii?Bado kuna maswali mengi ya kujiuliza mkuu; najaribu kutafuta tafiti zilizofanywa na wabobezi mbalimbali, bado kuzipata.
πππ hapana mkuu, ni katika kufikirisha ubongoKuroga ni "cheating" ni kufanya sanaa... Vipi unataka nawe uwe msanii?
Inakuwaje mkuuNadhani kinachofanyika hapo ni attraction kuvi attract vyote vizuri around nature & according to your though..