Anayejua Vizuri computer Application

strategist22

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
655
Reaction score
599
Nahitaji mtu anayejua Vizuri computer application anifundishe.

Location

Dar es Salaaam.

Ni Dm.
 
Okkk
 
Nahitaji mtu anayejua Vizuri computer application anifundishe.

Location

Dar es Salaaam.

Ni Dm.
Naomba nikusaidie kama hutojali :-

First of all: They're known and called as Computer Applications i.e Word, Excel, PowerPoint, Access etc.

Secondly: Ukikwama kokote karibu PM for more clarifications.

Ahsante.
 
Ndio hizo nahitaji
 
Kua specific applications gani unazohitaji yani, ukisema computer applications unamaanisha applications zote za kwenye computer, utaweza? Specifically kama unazihitaji hizo word, excel...ungesema computer office apps hapo unaeleweka zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…