babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 318
Mtaa una mapaka huu,usiku yanalia Nelly uuu love uLamba majivu, au kunywa maziwa Fresh kidogo. Kitaisha.
Uchoyo wako tu, akuloge nani????
Asantepole sana.
Zingatia huu ushauriLamba majivu, au kunywa maziwa Fresh kidogo. Kitaisha.
Uchoyo wako tu, akuloge nani????
sasa si unable amka tu unacheza???Mtaa una mapaka huu,usiku yanalia Nelly uuu love u
Kweli mkuuHawa samak tunaokula ni mungu tuu anatuepusha,kuna siku nilinunua samak nilikua natoka mahenge kuja dar pale kivukon,boonge la fish,sasa akat nanunua nkawa napiga stor na mtu fulan akasema bro hao samak usiwaamin sana,akasema ye amefanya sana biashara hii,si ziwani,mtoni au baharin,sabab samak wanakua adim1.watu wanavua kwa sumu ile DDT nahis ila samak anatengenezwa kias kwamba mnunuaj huwez jua.2.bombs,wanatumia mabom,..na wanasafishwa huwez jua kabsaa,tena ogopa wale wanakuaga wakav au waliokaangwa,...ingawa hawa samak hua ni watam saana..na ubwabwa daaah hatar,ila ndo hvyo
Ushauri mzuryTatizo lako hukumpara kwa kitunguu saumu(ndom) pengine ungepunguza harufu na madhara yatokanayo!!!
Ushauri wangu; punguza kuokota vibudu mkuu samaki wazuri hawapatikani kilingeni, fanya uoe utafaidi vyote kuanzia mkia hadi kichwa.
Otherwise pambana na hali yako.
Paka watu au...Mtaa una mapaka huu,usiku yanalia Nelly uuu love u
We utakua wa lemara tu!Watakua samaki wa bwawa la mav* hao
Hahahaahahaha yawekee biti za kisingeli hayo mapaka mabisho yataondoka na milio yao ya nelly uuu love uMtaa una mapaka huu,usiku yanalia Nelly uuu love u