Anayejua tiba ya hili gonjwa anisaidie

babadullah

babadullah

JF-Expert Member
Feb 21, 2017
508
500
Wakuu Jana jion nilipta sokoni nikanunua bichwa la samaki wabichi,nikamkaanga nikamtafuna na sembe ila alikua amechina kidogo.

Chakushangaza wakat naendelea kula nikaanza kuumwa kiungulia kikali yani nahisi kuna kitu kinasokota rohoni.

Je wakuu samaki naye anasababisha kiungulia kweli au ni wivu wa wapangaji wenzangu mana nilitafuna peke yangu nisije ukawa nisharogwa miee.

Naomba munijuze wakuu samaki anasababisha kiungulia na nini tiba yake mana roho yansokota,atiy
 
Napoleone

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
5,848
2,000
Hawa samak tunaokula ni mungu tuu anatuepusha,kuna siku nilinunua samak nilikua natoka mahenge kuja dar pale kivukon,boonge la fish,sasa akat nanunua nkawa napiga stor na mtu fulan akasema bro hao samak usiwaamin sana,akasema ye amefanya sana biashara hii,si ziwani,mtoni au baharin,sabab samak wanakua adim1.watu wanavua kwa sumu ile DDT nahis ila samak anatengenezwa kias kwamba mnunuaj huwez jua.2.bombs,wanatumia mabom,..na wanasafishwa huwez jua kabsaa,tena ogopa wale wanakuaga wakav au waliokaangwa,...ingawa hawa samak hua ni watam saana..na ubwabwa daaah hatar,ila ndo hvyo
 
Kisima

Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,828
2,000
Tatizo lako hukumpara kwa kitunguu saumu(ndom) pengine ungepunguza harufu na madhara yatokanayo!!!

Ushauri wangu; punguza kuokota vibudu mkuu samaki wazuri hawapatikani kilingeni, fanya uoe utafaidi vyote kuanzia mkia hadi kichwa.

Otherwise pambana na hali yako.
 
Kweli mkuu
 
Ushauri mzury
 
machiaveli

machiaveli

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
751
1,000
Watakua samaki wa bwawa la mav* hao
 
souljah meditater

souljah meditater

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
2,146
2,000
Mtaa una mapaka huu,usiku yanalia Nelly uuu love u
Hahahaahahaha yawekee biti za kisingeli hayo mapaka mabisho yataondoka na milio yao ya nelly uuu love u
 
Top Bottom