babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 318
Wakuu Jana jion nilipta sokoni nikanunua bichwa la samaki wabichi,nikamkaanga nikamtafuna na sembe ila alikua amechina kidogo.
Chakushangaza wakat naendelea kula nikaanza kuumwa kiungulia kikali yani nahisi kuna kitu kinasokota rohoni.
Je wakuu samaki naye anasababisha kiungulia kweli au ni wivu wa wapangaji wenzangu mana nilitafuna peke yangu nisije ukawa nisharogwa miee.
Naomba munijuze wakuu samaki anasababisha kiungulia na nini tiba yake mana roho yansokota,atiy