M Mzzzzz New Member Joined Apr 21, 2018 Posts 2 Reaction score 1 Apr 29, 2018 #1 Wapendwa wana jf naomba kwa anayeifaham shule ya Cornerstone Leadership Academy kuhusu vigezo vya kujiunga na hiyo shule alafu na mengineyo zaid naomba anijulishe Tafadhali kwan natamani niijue vizur kwa anayeijua vizur naomba anisaidie
Wapendwa wana jf naomba kwa anayeifaham shule ya Cornerstone Leadership Academy kuhusu vigezo vya kujiunga na hiyo shule alafu na mengineyo zaid naomba anijulishe Tafadhali kwan natamani niijue vizur kwa anayeijua vizur naomba anisaidie