Wadau nina simu yangu aina ya SAMSUNG MEGA PLUS kubwa, Nyeusi nimeitumia miezi 6 tu tangu itoke kweny box lake,
Sasa Nimepata shida kidogo y kuhitajika kuitatua kwa haraka na hapa sina kitu chchote mfukoni, hivyo nimeona niiuze ili nikidhi haja zangu,
So kama kuna mtu anauhitaj wa haraka wa simu anicheki bila kuchelewa,
Nb: si kwa vile umeskia mtu anashida basi ndo ukataka kumkandamizia hapo hapo, ht Mungu hapendi.
Nawapenda wote,