MPALESTINA MWEUSI
Senior Member
- Jun 6, 2012
- 140
- 117
Hoja yako ni nzur tatizo hakuna mwanamke mjinga kiasi hicho
[HASHTAG]#chawakota[/HASHTAG] (chama cha wasoma koment tz)
Dada yangu ni mweupeeeee zeruzeru, karibu sana kuleta posaJamani kwa Mwanamke mwenye sifa hizi, Mweupe, asiwe mfupi, asiwe mwembamba sana, asiwe na miaka inayozidi 30, awe muislam, asiwe mwenye watoto, basi tuwasiliane inbox kama yupo tayari kuolewa, mie tayari nina wake wawili hivyo yeye atakuwa wa tatu.
Naomba namba yakekuna dada angu tulimfanya msukule vp huyu atakufaa eee ?
Naona sheik anataka kuongeza mashine mpya kiwandani duhhsheikh unataka kuongeza neema za allah nyumbani kwako?
hawa ndo mashehe wenye siri nzito kama wale mabilionea wa arusha wanao umbuana saiviNaona sheik anataka kuongeza mashine mpya kiwandani duhh
Unataka uchukue ziada nini duh ..una mahesabu makali mkuuKama watakuja wengi mkuu,nishtue!
Shehe katika ubora wake hahaha..hawa ndo mashehe wenye siri nzito kama wale mabilionea wa arusha wanao umbuana saivi
Ndio hivyo Mkuu,wakiwa wengi anatupasia wengineUnataka uchukue ziada nini duh ..una mahesabu makali mkuu
Na huko kwako wakizidi nipasie na Mimi kama kumi hivi Nina shida nao hao viumbe ..mkuuNdio hivyo Mkuu,wakiwa wengi anatupasia wengine
Hahaha,kumi wote hao mkuu,inabidi uanzishe uzi sasa!Na huko kwako wakizidi nipasie na Mimi kama kumi hivi Nina shida nao hao viumbe ..mkuu
Hahahaaa inabidi nianzishe Uzi ..maombi yako ni muhimu ili nifanikiwe ...hao kumi wanatosha kwa matumizi ya home ..Hahaha,kumi wote hao mkuu,inabidi uanzishe uzi sasa!
119Naomba namba yake